Maandalizi ya uzinduzi rasmi — 1 Januari 2027 +255 790 980 123helpdesk@fkf.co.tz
Timu ya FKF MICRO-CREDIT ikiwa tayari kuwahudumia wateja
FKF MICRO-CREDIT COMPANY LIMITED

Fursa ya kusonga mbele

Huduma ndogo za kifedha kwa wajasiriamali, waendesha vyombo vya usafiri, kaya na vikundi.

Kuhusu FKF MICRO-CREDIT

Dira Yetu

Kuwa mshirika anayeaminika katika kukuza biashara, kuboresha maisha na kufungua fursa za maendeleo kupitia huduma ndogo za kifedha.

Dhamira Yetu

Kutoa huduma zinazofikika na kueleweka, kwa tathmini yenye uwajibikaji, masharti yaliyo wazi na huduma inayomheshimu kila mteja.

Kaulimbiu Yetu

“Fursa ya kusonga mbele.”

Kwa Nini Uchague FKF?

Huduma ya Karibu

Maelezo kwa lugha rahisi na msaada kupitia njia rasmi za FKF.

Mchakato Salama

KYC, tathmini na nyaraka vinawekwa kwenye mfumo rasmi wa mteja.

Masharti Yaliyo Wazi

Gharama, muda na wajibu huwasilishwa kwa maandishi kabla ya makubaliano.

Mteja Kwanza

Utu, faragha na uwezo wa mteja vinaongoza kila hatua ya huduma.

Maadili Yetu ya Msingi

Uwazi
Heshima
Uwajibikaji
Usalama wa Taarifa
Huduma kwa Mteja

Uko Tayari Kuanza?

Chagua huduma inayokufaa, soma maelezo yake na anza ombi lako kupitia portal rasmi ya FKF.

Usimpe mtu yeyote PIN, OTP au nenosiri lako.